Mashine ya kupulizia rangi ya kuchaji -Inakuja na betri mbili -Piga rangi sehemu ata sehemu ambazo hazina umeme -Piga rangi furniture, ukuta, mabati -Inapiga rangi za ina yoyote ya mafuta ya maji n.k -Hakuna haja ya kompresa