Semtoni microscope ni darubini ya kisasa inayokuwezesha kuona vitu vidogo kwa uwazi na kwa ukubwa mkubwa (high magnification). Inafaa kwa matumizi ya kielimu, maabara, ukarabati wa vifaa vya umeme (electronics repair), uchunguzi wa wadudu na hata matumizi ya nyumbani.
Ina teknolojia ya kisasa ya mwanga (LED), ina uwezo wa kuonyesha picha kwa uwazi mkubwa na baadhi ya model zinaweza kuunganishwa na simu au kompyuta kupitia USB. Ni nyepesi, rahisi kubeba na kutumia, hivyo ni chaguo bora kwa wanafunzi, mafundi na watafiti.