Hii ni randa ya umeme yenye uwezo wa kuranda mbao vizuri na kuifanya iwe smooth na kuvutia -Ipe thamani samani yako kwa kuranda vizuri na kupata uso laini (smooth surface) -Okoa muda kwa kurahisisha kazi unapotunia randa hii