← Back BUYDZM

POLISHER

Category Machines & Tools

POLISHER

Tsh 850,000
Seller: Mawo Buy
Active
Vendor Account
Mawo Buy

Description
Muonekano wa gari lako ni taswira ya hadhi yako. Rangi iliyong’aa, uso laini usio na mikwaruzo, na mwonekano wa kuvutia huongeza thamani ya gari na kuleta heshima popote unapofika. Sasa unaweza kupata matokeo ya kitaalamu bila gharama kubwa za mara kwa mara za car detailing. Tunakulet ea Car Polisher yenye ubora wa hali ya juu, iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya kurudisha mng’ao wa rangi, kuondoa swirl marks, mikwaruzo midogo na dalili za uchakavu unaosababishwa na jua, vumbi au kuoshwa mara kwa mara.