← Back
PRESHA WOSHER

PRESHA WOSHER

Machines & Tools
Price: Tsh 600,000
Stock: 9
Vendor: Mawo Buy

umechoka kusugua sakafu, kuosha gari kwa muda mrefu au kushindwa kuondoa uchafu mgumu? Sasa ni wakati wa kubadilisha namna unavyofanya usafi!
Presha Washer yetu yenye nguvu kubwa ya maji imeundwa kukupa matokeo ya haraka, safi na ya kuridhisha bila kutumia nguvu nyingi. Ndani ya dakika chache tu, utaona tofauti kubwa kwenye gari, kuta, sakafu au paving.