← Back
ELECTRIC HAMMER DRILL (hama drili ya umeme)

ELECTRIC HAMMER DRILL (hama drili ya umeme)

Machines & Tools
Price: Tsh 150,000
Stock: 6
Vendor: Mawo Buy

Hama drill ya umeme yenye nguvu yakutindua na kutoboa ukuta wa aina yoyote.
-Tindua na kutoboa kuta ya aina yoyote bila kutumia nguvu
-Inakua na bits za kuanzia
-Okoa muda, piga pesa
-Epuka madhara ya kuweka nyufa na kuharibu kuta kwa kutumia vifaa vya kizamami