← Back
WATER GUN

WATER GUN

Machines & Tools
Price: Tsh 95,000
Stock: 6
Vendor: Mawo Buy

Water gun, mashine ya kuchaji ambayo inafanya kazi zaidi ya mbili kwa ufanisi mkubwa sana kazi kama
-Kuosha magari na pikipiki kwa ufanisi mkubwa kwani inaprepresha kubwa sana
-Inatumika kunyunyuza dawa mashambani
-Inatumika kumwagilia mashamba pia bustani